iqna

IQNA

harakati ya kiislamu ya nigeria
Harakati ya Kiislamu Nigeria
TEHRAN (IQNA) – Katika kumbukumbu ya miaka 7 ya mauaji ya umati ya Waislamu wa madhehebu ya Shia wa Nigeria huko Zaria, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) alisimulia matukio ya siku hizo katika mahojiano.
Habari ID: 3476244    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/13

TEHRAN (IQNA)- Afisa mkuu wa Umoja wa Mataifa anayesghulikia masuala ya hukumu zisizofuata sheria na pia mauaji ya kiholela, Agnes Callamard, ameilaani serikali ya Nigeria kwa kutekeleza mauaji na kutumia nguvu ziada dhidi ya Harakati ya Kiislamu nchini humo.
Habari ID: 3472112    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/03

TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetangaza kuwa, kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky amepelekwa mahala kusikojulikana mara baada ya kuwasili Abuja akitokea nchini India.
Habari ID: 3472088    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/18

TEHRAN (IQNA) – Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky ameituhumu Saudi Arabia kuwa inaliunga mkono kifedha Jeshi la Nigeria ili litekeleza mauaji ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo.
Habari ID: 3471484    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/27

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria ambaye kwa miaka miwili sasa anashikiliwa kinyume cha sheria, kwa mara ya kwanza jana alionekana hadharani alipohojiwa na waandishi habari.
Habari ID: 3471354    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/14

IQNA-Wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameitaka serikali ya nchi hiyo kumuachilia huru kiongozi wa harakati hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Habari ID: 3470775    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/02

IQNA-Utawala wa kiimla Nigeria umeendeleza ukandamizaji dhidi ya Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo kwa kubomoa vituo kadhaa kadhaa ya harakati hiyo.
Habari ID: 3470686    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/20

Katika muendelezo wa ukandamizaji wa Waislamu nchini Nigeria, Harakati ya Kiislamu ya Nigeria inayoongozwa na Sheikh Ibrahim Zakzaky imepigwa marufuku katika jimbo la Kaduna kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470605    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/08

Waislamu wa Nigeria kwa mara nyingine tena wameandamana wakimuunga mkono Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria anayeshikiliwa na vyombo vya usalama vya nchi hiyo kwa miezi kadhaa sasa.
Habari ID: 3470577    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/23

Shirika moja la kutetea haki za binadamu Nigeria limetoa wito kwa serikali ya nchi hiyo kuwafikisha kizimbani wanajeshi waliohusika katika kuwaua Waislamu wa madhehebu ya Shia mwezi Desemba mwaka jana.
Habari ID: 3470516    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/11